- Lilian Mdendemi Amina
- Mariam Hamis Pole sana
- Zaituñn Denic Pole sn mamy kazi ya mungu
- Maryam Wa Ally naumia da Zulfa Bint Shitindi Jimmy McMele wangu pumzika kwa amani mwanangu nalia peke yangu kipenz cha dada yangu sina lakusema alhamdulilah pumzika baba
- Lizzy Betty Jamaniiiii poleni sana rip jimmy
- Ericka William Daa inasikitsha sana maskin amemuacha da jane mwenyewe R.I.P jimmy yote ni mapenzi ya mungu tuzidi kumuombea tu!
- Flora Nelson Mweeeeeee pumzika kwa aman daima
- Abuod Muhamed Pole sana
- Jamie Rammy R.I.P
- Dany Deeconomist Pole sana my dada kazi ya mungu haina makosa
- Justice Kanju Poleni sana dada
- Shalony Komba R.I,p Jamani Kazi Mungu Mbele Yeye Nxuma Xixi Pumzika Kwa Amani
- Zuwena Ally Ngoma Pole sana my dear
- Shermiry Luqman polen ndugu, mahal pema allah amlaze.
- Redstar Salum Pole sana
- Vanessa Sinkala Poleni sana wafiwa tuko pamoja R.I.P jimmy
- Benson Benjamin Maneno Jamani pole dahhhh
- Zawadi Abdallah Poleni sana jamani ndugu zngu
- Abdullah Kashuku pole sana na kufiwa
- Mwiza Ramadhan Fundikila Mbele yake nyuma yetu
- Ibrahim Ally Kazi ya mungu
Pole sana - Noela Shitindi Pole ndugu yangu Zulfa Bint Shitindi
- Mariam Sosovele Rip
- Issa Nandumbi Daaaahhhhh pole sanan sanaaaa
- Adam Gomba Pole san ndg
- Rajabu Ibrahim Mwakilasa eeh! VP tena zulfa
- Yasin Hussein daaah pole sana dada
- Mashaka Kaoneka Poleni sana kwa msiba Zulfa Bint Shitindi
- Abdi Maalim poleni sana ndiyo kazi ya Mungu haina makosa
- Dedan Mgongolwa Rip boi
- Theresia Matheo R.i.p
- Prosper Betram Pole sana dada.
- Celine Francis RIP GUY
- Abdi Maalim R.I.P jimmy, kijana wetu ufike salama safari yako
- Khamis Issa mungu amuweke mahala pema peponi amin
- Prisca Mushi R.I.P
- Beautful Onyinye Inna lilah wainna lilah rajiun mbele yako nyuma sie...polee kwa famiria mungu awe pamoja nanyi katika kipind iki kigum R I P jimmy
- Clara Samgabo R.i.p
- Estherrita Charles Oh!jamani pumzika kwa amani Jimmy dah! Inauma sana jamani
- Beatrice Mwendapole pole sn Mungu akutie nguvu mamii n ngumu kuzoea ila Mungu hawez kukuacha atakufunga mkanda RIP jimmy
- Hadija Chuna Jmn inallilah wainalliah rajim pole sana mkwe jmn pole Zulfa Bint Shitindi
- Yaya Al-baalawy Poleni jmani mngu amlaze pema
"Innalillah
wainnaillah rajiuon pumzika kwa amani mtoto wanguu ni ngumu sana
kuamini hili uwiiii Jimmy wangu mtoto wanguu pumzika baba mwenyezi mungu
akuepushie na adhabu ya kabuli"










































0 comments:
Post a Comment