Tuesday, June 16, 2015

William Ngereja,January Makamba na Makongoro Nyerere huwa wanakula bata pamoja nakufahamiana kiundani.Kutangaza nia kwao ya urais inawezakua chengesha watanzania mmoja afike Ikulu mambo yao yaende murua.Kwa umoja huu akifanikiwa mmoja wote wameukata.

0 comments:

Post a Comment