Robert Mgabe rais wa Zimbabwe kuanzia mwaka 1987,Yowel Kaguta Mseven raisi wa Uganda tangu 1986 wote wametimiza miaka 29.Uroho na uchu wa madaraka unawafanya waendelee kuongoza nchi.Hivi juzi walimuaga rais Jakaya Kikwete wao haijafahamika wata agwa mwaka gani.
0 comments:
Post a Comment