"Umoja wetu,Nchi yetu,Taifa letu"
- Kennedy E. Ndosi, Ummy Mwalimu, Mtela Mwampamba and 108 others like this.
- Mtulyakwaku Mjumbe Jr. Sawa kabisa siasa sio vita
- Juma Awadh Shedafa mwaka gani huo DC Makonda?iko njema sana hiyo.
- Jimmy Mushy Mbona mmesogeleana ivo jmn...... Kwema...!
- Khalifa Mutabuzi Mh Dc, huyo alikuja kkuchota maana anahisi kuwa unaweza kuwa tishio kwao
- Pius Sambai Ulichokuwa unakitafuta (ukuu wa wilaya) umekipata sasa umepunguza kubwekabweka kama zamani!ila sidhani kama utaendelea na nafasi hiyo uliyonayo baada ya uchaguzi mkuu 2015
- Sam Mahela-itv ah ah ah....mh mbowe katulia kama vile si yeye............mh tundu lisu tupe mwongozo ah ah
- Mbayani Tayai Ha ha ha ha ha,Paul C. Makonda ninefurahishwa sana na picha hii.
Lazima ieleweke kwamba, Siasa siyo vita... - Jofrey Martin safi sana ndugu....!! UMOJA
- Fred Mussa kumbe wstu wanaumia nyie ni marafiki na mnajua mnachokipanga sisi ni misukule wenuu
- Freddy Ngowi My brother makonda big up naona unaendeleaa kukomaaa vizuri kisiasa utafika mbali mkuu
- Juma Kitambi Pole na kazi DC wangu......














0 comments:
Post a Comment