
· Instagram ·
"Nimeanza kufikiria cha kuvaa kwenye birthday yangu ya miaka 32.... Any idea ?"
- Faiza Ally, Mathew Jacob, Rashida Wanjara and 111 others like this.
- Kevoo Mandari Kha ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
- Zubeidah Dullah Saad Dress lke an indian princess bt have to be pink or yellow colour..
- Africa Uniteas Hiyo uliyo vaa nini? Nepi right?!!!
- Aneth Mwasyebule Nadhani vaa tofauti sana na hapo ili iwe saprise kwa wengi...like gauni refu or mini dress ili kuwatoa watu kwenye attention ya mwanzo
- Jay Gerald usivae chochote bhanaaa
- Jay Gerald baki mtupu tu kwan cku ya kuzaliwa ulizaliwa na nguo? @ Faiza Ally
- Aneth Mwasyebule Jay Gerald umetisha
- Jay Gerald hahahahahhahah
- Wilson Peter Mtino Gauni refu,na ushungi,kiislam zaidi
- Sajo Mwabu Kama mtoto anavyozaliwa usivae nguo yoyote hahahaha
- Jibai Mukama Du........
- Kingi Dongo Mmmmmmmh
- Macarious Kyungu Ustake nchekeee
- Sajo Mwabu Mbona apo mbelee pametuna ivo kunanni?apo Faiza Ally
- Maria Makwinya Makwinya VAA GAUNI REFU LILOKUFEET VIZURI UWE KAMA MALKIA
- Ally Mgangawe Mambo kama ya white party uongeze manjonjo zaid ila white isitawale sana hope you'll look great.
- Aphia Mohd Faiza Ally mama vaa unachokipenda akila kitu kinakukaa sawaaa naomba suprise nyingine mwaka huuu hahahahhahhah mwaaaaah
- Zahra Ahmed hahahahah
- Qamar Hussein Moo mhhh
- Amina Mzava Vaa upendeze
- Saleh Ameir usivae kitu itaonesha kumbukumbu hasa ulivyokuja dunia
- Linah Brighton Hata ncpokushauri i hope my dada huwez kukoxea.
- Angel Michael Me niko upande wa Aphia Mohd kila kitu kinakukaa poa ata uvae gunia utapendeza unadamu ya nguo mpenz
- Jasmine Dumba U make my day faiza
Much love to u
Today is my birthday i will try to ware like u - Slaym Khalfan Vaa nepi na singlend kitovu Lowe nje uenzi uchanga wako
- Erickson Kivamba Hvo hvo
- Faiza Ally Jasmine Dumba happy birthday my wifi and dada ๐ bless you dear
- Jasmine Dumba Shukrani my dearwifi@Faiza Ally
- Frank Mponda Funga kanga
- Linda Rose Girl I have some ideas I will inbox you sister
- Lilyonce Unga I wish niwepo love tungevaa sare unachokitaka
- Mrnice Mkenda Vaa kitu tofauti na wanavyofikiria.....na asikuchagulie mtu
- Janeth Marwa Nakuaminia sana ktk mavazi






























0 comments:
Post a Comment