- "Aya maswala ya kusema mnasumbuliwa inbox ivi huwa yanatokea wapi.. Ivi humu bado kuna watu wanatongozaga? Ivi kutongoza ni kukoje?
? Maana nahis hata nshasahau.. Me najua mambo yanakujaga automatic tu .. Unashangaa kitu kimetiki.. Ila bado nashangaa watu wanaolalamika kusumbuliwa inbox.. Sasa ulitaka akusumbue wapi.. ?? Mtu akikutongoza kizamani mjibu tu ' samahan me kutongozwa nshasahau' basi hatarudi tena ila ukianza jikanyaga hueleweki lazima akusumbue.. Sema na nyie mnaosema mnasumbuliwa inbox basi kabla hamjalalamika muwe mnajiringanisha na wengine pia.. Kuna watu ni wazuri ivi ivi hata live..na kuna watu ukiwaona live wako kama wachezaji wa timu ya mpira ya wanawake misuli mpaka kwenye paji la uso alafu unasema unasumbuliwa..." - Erick Mwombeki Kumekucha sasa
- Daniel Mtokambali Ahahahaha misuli mpaka paji la uso amekua mnyanyua vyuma
- Eras Rweyemamu haaa tunachoshana tu
- Emmanuela Patrick Shikamo
- Hon Precious PM Ng'wipagy Kwa madogo jiran naomba boss akuhamishe makaz
- Happy Bryce he he heeee
- Michael Mathias huyo atakua mnyakyusa tuuh Eras Rweyemamu
- Seme Mwalingo Ebwanaeeeee
- Anna Montana Gerarihiaa
- Philemon Gibebe duu
- Evelyn Munisi Hahahaaaaaaàa
- Jackson James hahhaha Eras Rweyemamu
- Eliza Mjema uyo alikuja kwa hakimu wewe amechemshaaa ni bora angehukumiwa jela miaka mi5 kuliko hayo maneno yako kaah!
- Jordan Benjamin Wasonga wanajishaua tu hao, siku hzi hakuna kutongozana,siku hzi kunapeana tu namba za simu b'ness mnamaliza mapema
- John Lauranti Dedicated to them good message cause they feel are beauter than others
- Eras Rweyemamu gerarahiaaaa
- Eras Rweyemamu buhahahaha ha eti natongozwa sana .. unatongozwa kivipi wakati,siku izi kutongozana kushaishaga
- Neema Mduma Hahahaaaa kichaa wewe ujue mm sijatongozwa nina muda Eras Rweyemamu afu nawatamania hao watu maan kuna raha asikwambie mtu ni km unasikiliza mchiriku kweny radio ya mkulima ...tehetehetehe ukiwauliza wanasumbuliwaje hawawez kueleza maan mtu akikutumia inbox unaweza usimjibu n maisha yanaendelea ama nenee polen n hongerenii kuna watu hawasumbuliw mjue wanatamania #ndukiiiii
- Ajae Abdallah Chuma asante,hoyo nimeikubal mbona me sisemi
- Eras Rweyemamu #mrschifu umeuaaa
- Eras Rweyemamu teh maisha ni aya aya hakuna mengine.. eti unatongozwa..
- John Lauranti Tell them the truth cause they don't like it they still stupidness but they will take it that they saw amessage
- Luther Akyoo naked truth Eras Rweyemamu
- Geofrey Pesambili Mhagama Hahah! Haoo mizoga huwa wanatafutaga kikiii tuuu Eras Rweyemamu
- Rugey Da Listen infact tena km hao ndo wanaongeaa hatar
- Naureen Moud Haha siku zote tangu lini Mpishi akajisifia eti najua kupika mie subiri usifiwe bhana eti mi wananisumbua in box sasa umesikia fb ni sehemu ya matangazo hapo jaman haha wanachosha sana hawa krokodio mara dio mara donya
- Loveness Kajungu hahahahahahahahaha
- Gladeness Komba Dyuuuuuuuu kaz kweli kweli
- Irene Gilbert ha ha ha ha eras hii laana sasa,m2 km mcheza mpira 2takuvamia 2kutie vitasa vya maana.
- Helga K Helmut Mmmm.sawa bwana
- Binti Hassan Heheehehehe
- Noorkham Wilfred uwiiii mi hata csumbuliwi jmn hata inbox hawaji cjui na gundu Eras Rweyemamu
- Christina John haaaaahaaaaaaa napta tu ila nimeipenda, me naona wanaosema wanasumbuliwa wanatafta kik tuwaone watu wakat vidudu mtu mxuu, umesumbuliwa n wangap umewakubali kmya kmya, n kwel kutongozna hakupo cku hz
Eras Rweyemamu ha ha ha ha




























0 comments:
Post a Comment