Tuesday, June 16, 2015

Mama Maria Nyerere amempa baraka za urais naibu waziri Mwigulu Nchemba na kumtosa mwanae Makongoro Nyerere.Kati ya watangazania hawa nani alistahili kupewa baraka na mama huyo mwasisi wa taifa letu?Hizi ni dalili za mama huyo kutomkubali mwanae uwezo wake katika uongozi.



0 comments:

Post a Comment