Tuesday, June 16, 2015

Rais Jakaya Kikwete ana mtihani mkubwa baada ya waandamizi wake wote kuchukua fomu za kinyang'anyiro cha urais.Waziri mkuu Mizengo Pinda,Makamu wa rais Ghalib Bilal,Asha Rose Mingiro na Edward Lowasa hakika hata mapenzi yake kwa mrithi wake ajaye yako njia panda.Ni kipindi chake kigumu sana cha kuepuka lawama ya upendeleo.




0 comments:

Post a Comment