Mh January Makamba Akipokea Fomu ya Wazamini katika jiji la Mwanza kutoka kwa Katibu wa CCM wilaya ya Ilemela Loth Olemeint.
Mbunge wa Bumbuli January Makamba ambaye anazunguuka
mikoani kwa sasa kusaka wadhamini, leo alikua katika Jiji la Mwanza huku
mamia ya wanachama na wakazi wa Mwanza walifulika katika ukumbi wa
Nyanza kumsikiliza Mh January.
Makamba ametoa ahadi kwa wakazi wa Mwanza kuwa hataka kama
hatofanikiwa katika Mchakato huu hatokua na kinyongo wala Chuki kwa
atakae Teuliwa.
Kwa upande mwingine Mh January amesema kuwa anamajibu ya
kiuchumi katika Jiji la Mwanza na endapo akifanikiwa kupata nafasi hiyo
atabadilisha uchumi wa jiji la Mwanza kwa kutumia lasiri Mali za jiji
hilo la Mwanza.
Msafara wa Pikipiki ukimpokea January Makamba Kuelekea Ukumbi wa Nyanza.
Mh January Makamba Akipokea Fomu ya Wazamini Kutoka kwa Katibu wa CCM wilaya ya Nyamagana Elius Mpanda.
Umati wa wakazi wa Mwanza waliojitokeza kumpokea Mh January Makamba.
| |||

0 comments:
Post a Comment