Saturday, June 20, 2015

TEKNOLOJIA MPWAPWA
"Nikiwa na Mkuu wa Kitengo Maalum wa Kampuni ya UhuruOne Ndg. Rajab Rj Katunda ambapo Kampuni yake imekubali kuja kuanzisha kituo cha mafunzo cha Computer(Computer Lab)
wilayani Mpwapwa kwa lengo la kuwapa mafunzo wanafunzi wa Sekondari,vyuo vya elimu ya juu,watumishi wa serikali na wananchi kwa ujumla.
Mradi huu utagharimu Tsh Mil.60 lakini kutokana na juhudi zangu za maendeleo wilayani Mpwapwa wamekubali kufanya bure huduma hii pasipo malipo yoyote,ila wametutaka kwa upande wetu kufanya yafuatayo;
1.Kutenga na kuaanda Eneo/Chumba kwa ajili ya mafunzo
2.Kwa kuanzia,tutafute angalau computer 20 kwa ajili ya kituo cha mafunzo.
‪#‎MpwapwaMpya‬#"

0 comments:

Post a Comment