Marehemu Rachel Haule ‘Recho’. Akipiga stori na gazeti hili, Saguda alisema tangu alipofariki mchumba wake amekuwa akiishi kwa mateso kwani amejaribu kuwa na mwanamke mwingine ili kupoteza mawazo lakini imeshindikana.
Saguda ambaye mchumba wake, marehemu Rachel Haule ‘Recho’ wiki iliyopita alitimiza mwaka mmoja kaburini, anadai kutokewa na mzimu wake ukimueleza mambo mbalimbali hasa akiwa katika wakati mgumu.
0 comments:
Post a Comment