Friday, June 12, 2015

Waziri mkuu Mizengo Kayanza Pinda mzee wa kimya kimya amechukua fomu ya kinyang'anyiro cha nafasi ya urais.Mbunge kutoka mkoani Rukwa, Mpanda anakabiliwa na upinzani mkubwa wa kauli yake,"piga tu"akiamuru wanao andamana wapigwe tu.Sifa pekee aliwahi kutoa machozi bungeni akililia maalbino waliokua wakiuwawa nchini.

0 comments:

Post a Comment