Kuelekea uchaguzi mkuu vyombo vyote vya habari televisheni na redio zimeamliwa ifikapo saa mbili usiku wajiunge na TBC kurusha habari.Ili kupinga sheria hiyo kusainiwa na rais Jakaya Kikwete,Kampeni ya KeepTzfree kupitia Change Tanzania wamekusanya saini 200 ndani ya saa kumi na mbili.Saini zaidi zinaitajika matokeo mabaya ya sheria ni ukimya wetu ili kupinga kuwa na mzizi wa habari ifikapo saa mbili usiku.
Friday, June 12, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment