Waukaye tuna msemo "mungu kibidu" , Leo ndugu yangu Mavunde amenitembelea ofisini, tofauti na zile siku za "mwambie anisubiri" leo maelekezo yametolewa mapema anakuja Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, huwezi jua unaweza sikia uhamisho kaja Ilala ukawa umekosana na mwakilishi wa Rais na kiongozi mkuu wa serikali.
Karibu Mkuu, kinachowashindaga watu wengi ni kumwamini Mungu....
Jamani ipo taarab moja kule Unguja inaimba "��
alopewa kapewa

0 comments:
Post a Comment