Siku zangu za mwisho mwisho katika ofisi kama mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala,je nitakumbukwa kwa kipi?...na nichukue fursa hii kuwaomba samahani sna wale wote ambao tulipishana kauli kwa njia moja au nyingine ikiwa ni katika kutekeleza majukumu ya kuwaletea maendeleo wananchi wa kata ya Gongolamboto,wana Ilala na watanzania kwa ujumla,hii yote ilikuwa ni katika kutekeleza wajibu ....Pia nimejifunza mengi kwa kipindi nilichosimamia utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi katika Manispaa hii.
#NitakumbukwaKwaLipi??
#NitakumbukwaKwaLipi??

0 comments:
Post a Comment