Posted by Williammalecela.com on Thursday, June 11, 2015
Nyandu tozzy msanii wa bongo fleva amevuta bangi hadharani bila kificho,Huku akitumia mihadarati kinyume na sheria ya Jamuhuri.Wasanii wengi wamekua wakitumia mihadarati kama kiburudisho na kuondoa aibu mbele za watu.
0 comments:
Post a Comment