Elidephonce Bilohe umri miaka 43 elimu darasa la saba amechukua fomu ya urahisi kuomba ridhaa kupitia chama chake cha CCM.Katiba ya Tanzania inatoa sifa za mgombea urais awe na elimu ya kuanzia shahada ya kwanza.Uchukuaji fomu wa mtu mwenye elimu ndogo nikudhalilisha cheo hicho kuonesha kila mtu anaweza kinyemelea,Mtangazania toka chuo cha Mzumbe umri wake ni miaka 34 kinyume na taratibu za kiumri,Katiba inaamuru umri sahihi ni kuanzia miaka 41.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment