Njemba moja nchini Kenya Rajesh Hirani amejipanga kwenda Ikulu kwa Uhuru Kenyata kumshauri apande mirungi ndani ya Ikulu hiyo.Anashangaa mirungi kukataliwa nchini Tanzania na anamshauri Kenyata aongee na raisi wa bongo iruhusiwe na huku.Mirungi nchini Kenya inatumika kwenye sherehe kama harusi kuonesha umekubaliwa ukweni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment