Muheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa ameanza safari yake ya matumaini na kupasua anga kwa kasi.Leo mkoani Simiyu amepata wadhamini 5,000 wanao afiki awe raisi awamu ya nne.Wakati January Makamba akichapwa vibaya baada ya kupata wadhamini 1,156 wilaya mbili za Dodoma ikiwa ni mwanzo wa Tanzania mpya.Wananchi wataamua tuwe na safari ya matumaini au Tanzania mpya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment