Gwiji la Uchumi duniani Professa Haruna Lipumba kuchukua fomu ya urais siku ya jumapili.Tukio hilo litafanyika Ubungo plaza siku ya jumapili.Ikiwa ni mara kadhaa kwa kiongozi huyo kutaka nafasi hiyo na kuikosa.Ikiwa CCM washapanga kikosi chao cha watu zaidi ya watu 20,Sasa ni dhamu ya kikosi Ukawa kupanga watu wao wa kuzuia magoli na kushambulia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment