Dawa ambaye ni mume wa mtu, amedaiwa kujipiga
picha za utupu akiwa na mchepuko wake uliofahamika kwa jina moja la
Irene kisha kusambaa mitandaoni.Picha za wawili hao wenyeji wa Wilaya ya
Lamadi, mkoani Simiyu zimedaiwa kuvuja mara baada ya rafiki wa Irene
kuziiba kwenye ‘laptop’ ya Kaloli na kuzisambaza mtandaoni.
Imedaiwa kuwa rafiki wa Irene ambaye jina lake halikupatikana mara
moja, alizivujisha picha hizo baada ya kugombana na Irene.Imeelezwa
kuwa, vijana hao ni watoto wa wafanyabiashara wakubwa hivyo kitendo cha
kusambaa picha hizo kimewasononesha.
ushamba umemzid
ReplyDelete