Thursday, June 25, 2015

inaonekana jamaa mmoja alikuwa kwenye pilika pilika za kutaka kuiba, hali ya hewa haikuwa nzuri baada ya jamaa huyo kukamatwa na Walinzi.
Hairuhusiwi kujichukulia Sheria mikononi kama ikitokea mtu amekamatwa kwa kosa lolote, lakini wakati mwingine watu wanaamua kuchukua maamuzi magumu kutokana na hasira.



Jamaa huyo alikamatwa na walinzi wakati akiwa anataka kuiba maeneo ya Pam Residence, Dar.













0 comments:

Post a Comment