Wednesday, June 3, 2015

Msanii wa bongo movies Rayuu baada ya kutumia kilevi cha amarula kinacho hamsha mwili amekaribisha mtu atakaye wezakujisogeza nyumbani kwake wapate kutulia na kuburudika.Huku kinywaji hicho kikiwa kimejaa chupa nzima kiashilio kinatosha hadi majogoo.Msanii huyo kwa sasa anatamba na filamu ya kichwa cha kuku aliyoigiza na Vicent Kigosi.



0 comments:

Post a Comment