Wednesday, June 3, 2015

Siwema mpenzi wa zamani wa Ney Wa Mitego amejitokeza na hati ya kusafiria akiaga kwenda ng'ambo kujipooza na machungu ya kukaa nyuma ya nondo.Hii ni baada ya kukaa rumande zaidi ya wiki kwa kesi ya kutumia gari ambalo halijalipiwa na kumtishia pedeshee kusambaza picha zake za utupu.

0 comments:

Post a Comment