Joshua Nassari mbunge kutoka Arusha Mashariki mambo yamkalia sawa baada posho za bunge kuwa nono.Sasa ameanza kutembelea helikopta awa kamanda wa anga.Huu ndio usafiri anaotumia kwa sasa akipita kuwashawishi watu wajiandikishe kupiga kura.Huku akija na staili ya kifimbo kama cha baba wa taifa.
0 comments:
Post a Comment