Thursday, June 18, 2015

Mh Haikaeli Mbowe mwenyekiti wa chadema ikiwa imebaki miezi minne kuelekea uchaguzi leo ametoa gari la kukusanya takataka kwa wananchi wa jimbo lake.Miaka mitano kasoro miezi minne ndo anatoa gari hilo kama sio kanganya wananchi apite tena ni nini.Siasa za nchini kwetu ndipo zilipofikia muda huu wanasiasa wako majimboni wanawapetipeti wananchi warudi mjengoni.



0 comments:

Post a Comment