Saturday, June 13, 2015

Sitti Mtemvu mlimbwende aliyepelekea sakata la kufungiwa mashindano ya umiss Tanzania,Amesema alitamani kujiua kutokana na nchi nzima kumsonga kwa maneno ya kashfa.Kudanganya umri wa miaka 25 na kuficha kama ana mtoto vigezo vikubwa vilivyomfanya kuvua taji hilo.Baba yake muheshimiwa mbunge aliumwa kiasi cha kupelekwa South Afrika kisa mwanae kuzongwa.Alijifungia ndani siku zipatazo 30 akiona aibu kuonekana na jamii.Maumivu hayo yamepelekea kuandika kitabu cha Chozi akielezea mkasa mzima kujisafisha.



0 comments:

Post a Comment