Saturday, June 13, 2015



kujenga Taifa lenye kujitegemea kiuchumi na kiutamaduni na ambalo linalinda na kudumisha usawa,ustawi wa jamii na Demokrasia

kufumua mfumo wa umiliki sekta ya madini kutoka mfumo wa leseni kwenda mfumo wa PSAs. Madini kuwa Mali ya wananchi KIKATIBA

kuweka mfumo rahisi wa kikodi katika sekta ya Utalii ikiwemo urahisi wa kupanua wingi wa vyumba vya wageni kuhimili watalii

Shabaha kwenye sekta ya Utalii ni kuingiza mapato ya fedha za kigeni $8bilioni kwa mwaka

tunalenga Tanzania kuwa nchi ya 5 kwa ukubwa wa uchumi Afrika na ya 1 Afrika Mashariki

0 comments:

Post a Comment