MTU
kwao! Licha ya kuwa staa wa muvi za Bongo, mwigizaji kiwango,
Jacqueline Wolper Massawe anadaiwa kuitwa na wazazi wake kwenda kuishi
nyumbani kwao, Kibaha mkoani Pwani ili kuepukana na skendo za kila mara
za mjini.Wolper alipotafutwa kuulizwa kuhusu hilo, alijibu: “Kweli wazazi wangu wanapenda niwe nao karibu wakiamini nitaendelea kuwa mtoto mzuri bila skendo, lakini inakuwa ngumu ndiyo maana utakuta mara nyingi niko kule lakini kimakazi niko Dar, nitafikiria.”
0 comments:
Post a Comment