Posted by Williammalecela.com on Thursday, June 11, 2015
Kupitia gazeti la RAI limesomeka Wasira Ampiga Dongo Mkongoro..Kuwa Kwa
umri wake mkubwa alionao sasa, pamoja na kuwa na Marafiki wengi
Serikalini, Marafiki zake hao hawajampa kazi Serikalini.Hivyo kuto
kupewa huko kazi na Marafiki zake yeye kaonyesha kuwa AHAMINIKI kwa
Marafiki zake ..Na kuwa yeye amefanya jambo la maana na Makongoro
HAJAFAANYA LA MAANA Kwa kutokufanya kazi Serikalini.
0 comments:
Post a Comment