Mwimbaji wa muziki wa band Banza Stone aliyelazwa hospitali ya mwananyamala jiji Dar es Salaam yaanza kuimarika.Ugonjwa wa fangasi kichwani unaomsababisha kutosikia vizuri umekuwa ukitetelesha afya yake.Baada ya siku kadhaa za matibabu amekuwa na uwezo wa kula na kuongea na watu wanaomtembelea.
0 comments:
Post a Comment