Friday, July 3, 2015

Beyonce mwimbaji wa kike nchini Marekani ametupia kivazi chenye kuacha sehemu kubwa ya mwili wake na kuzunguka mtaani.Wengi wa mashabiki wamekuwa wakimtolea macho sehemu hizo za wazi hasa miguu.Mwimbaji huyo ni mama wa mtoto mmoja na mke wa mwanamuziki wa kufoka Jay Z.



0 comments:

Post a Comment