Thursday, July 2, 2015

Siku tatu mfululizo muke wa muzungu Lucy Komba amekuwa akiwaponda wasanii waliojichubua Tanzania na kujisifia yeye na wasanii wa Nigeria wasio jichubua.Wasanii wanaojichubua bongo ni madam Wema Sepetu na Johari ambao rangi zao zimebadilika ghafla.Amewashauri waache mchezo huo utawaletea kansa ya ngozi.


0 comments:

Post a Comment