Thursday, July 2, 2015

Matajiri wawili wenye kuoneshana ubabe na ubavu wa pesa kukutanishwa live TBC1 ijumaa hii.Wote washawahi kumiliki kundi la Original Komedi,washafunguliana kesi ya kudhalilishana kwa Mengi kumuita Manji Fisadi papa na kudaiana fidia ya shilingi tano sasa ni zamu ya uso kwa uso na kujenga hoja papo hapo.

0 comments:

Post a Comment