Mcheza filamu nchini Tanzania almaarufu boss Masinde jina alilolipata kwenye kuigiza michezo ya ITV amesema wasanii waliokuwa wanamtegemea Marehemu Kanumba awabebe wameteteleka vibaya na wengine wamepotea,Baadhi waliokuwa vihemezi kwa marehemu ni Ceci mdogo wa marehemu,na baadhi kukota kikundi cha Kaole ambao kwa sasa wapo juu ya mawe kisanaa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment