Thursday, July 2, 2015

Martin Kadinda akiwa airport nchini South Africa amejikuta akichuniwa na wasafiri wenzake na kujikuta hana mtu wa kuongea nae.Ingawa ni mwanamitindo mwenye nguo za aina mbalimbali zinazotambulika kitaifa na kimataifa.Kaka meneja anaitaji kujimeneje kwanza mwenyewe ili watu wamtambue asipitwe ovyo sehemu za mchanganyiko kama airport.

0 comments:

Post a Comment