Posted by Williammalecela.com on Thursday, July 02, 2015
Bunge
limeahirishwa ghafla kufuatia Wabunge wa Upinzani kusimama na kukataa
kutoka nje ili kuzuia Miswada mitatu muhimu ya Gesi, Petroli na Uziduaji
kusomwa kwa Hati ya Dharura.
-Wabunge wa Upinzani wanataka Miswada ijadiliwe kwanza na wadau kabla haijasomwa.
0 comments:
Post a Comment