![]() |
| Kada wa Chama cha Mapinduzi,Octavian akimtambulisha mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha kwa wakazi wa Moshi waliofika katika uwanja wa Mashujaa. |
![]() |
| Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Mashujaa mjini Moshi. |
![]() |
| Baadhi ya wananchi waliofika katika mkutano huo. |
![]() |
| Davis Mosha akizungumza na waandishi wa habari marabaada ya mkutano wake wa kutangaza nia. |
![]() |
| Mtia nia wa nafasi ya Ubunge Davis Mosha akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara mjini Moshi waliofika katika mkutano huo.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |



















0 comments:
Post a Comment