Nimetumikia Chama na Serikali kwa Miaka zaidi ya kumi sasa.
Ninaomba wanaCCM wenzangu na Chama Changu kinipe fursa ya Kupeperusha Bendera ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga.
Jimbo nililozaliwa,kusomea Shule ya msingi hadi form IV....
Jimbo ambalo asilimia 70% ya familia yangu inaishi na maziara ya familia yapo....
Naamini ninakila sababu ya kutoa mchango kwenye maendeleo ya Jimbo letu.....
#KaziIendeleeaa


0 comments:
Post a Comment