Posted by Williammalecela.com on Wednesday, July 15, 2015
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.
KUFUATIA
kuwepo kwa makundi yaliyotokana na watangaza nia 42 wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) waliokuwa wakiwania nafasi ya urais, mastaa waliokuwemo
ndani ya makundi hayo wameumbuka kufuatia ushindi wa John Pombe
Magufuli, Risasi Mchanganyiko lina ‘full’ stori.
Diamond Platnum.
0 comments:
Post a Comment