Posted by Williammalecela.com on Tuesday, July 07, 2015
Leo Kikao cha Sekretarieti Maalum ya CCM chini ya Uenyekiti wa Katibu Mkuu,Kinana kimeanza katika ukumbi wa NEC, Dodoma.Wananchi wasio na shughuli maalum wazuiliwa na jeshi la polisi kwenda mkoni dodoma kuleta ushabiki na vurugu.
0 comments:
Post a Comment