Waziri wa fedha awamu ya tatu Bazil Mramba aliyekutwa na tuhuma ya kuisababishia serikali hasara ya shillingi bilioni kumi na moja,amehukumiwa miaka mitatu jela na faini ya shilingi milioni tano.Pamoja na adhabu hiyo ndogo akiwa kwenye gari la mahabusu kupelekwa gerezani amepewa huduma ya kiti kudhihirisha uheshimiwa hadi kwenye kutumikia adhabu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment