Tuesday, July 7, 2015

Mama ajulikanae Ruth ametelekezwa na mmewe baada ya kujifungua mapacha mfululizo.Benjamin baba wa watoto hao aliwakimbia toka mwezi wa tatu akiwa na ujauzito wa watoto wachanga.Mahakama imeamuru atafutwe mume alipo aweze kuhudumia watoto hao sita.

0 comments:

Post a Comment