Posted by Williammalecela.com on Friday, July 03, 2015
Mwigizaji Bongo, Esha Buheti, licha ya kuwa ndani ya
ndoa, amekiri kuchepuka na mcheza mpira mmoja ambaye hakutaka kuweka
wazi jina lake.
Mwigizaji
Bongo, Esha Buheti. Akizungumza na Ijumaa, Esha aliweka wazi hisia zake
kuwa kwa sasa ana kifaa kipya chenye hadhi na amekuwa akitupia picha
zake mitandaoni kisha anazitoa.
“Najua wambeya watataka kumchunguza
mpenzi wangu wa sasa ndiyo maana namuweka mtandaoni kisha nafuta
harakaharaka,” alisema Esha.
Esha alifunguka kuwa, pamoja na
‘kidumu’ alichonacho bado yuko kwenye ndoa yake na anamheshimu mumewe
aliyezaa naye mtoto mmoja.
0 comments:
Post a Comment