Friday, July 3, 2015

Msanii Diamond ameendelea kupata mialiko ya kufanya nyimbo na wasanii mbalimbali kutokea kila pembe barani Afrika. Hii hapa ni video mpya iliyotoka muda mchache tu uliopita ambapo msanii KCEE amemshirikisha Diamond katika wimbo unaoitwa LOVE BOAT. Hebu tazama Video hii hapa uangalie Diamond alivyofanya vizuri humo. 

0 comments:

Post a Comment