Hamisa Mabeto mcheza filamu na video modal amedhihirisha ukalee wa sura yake isiyo na upele,harara wala chunusi.Ni mke halali wa mmiliki wa redio Efm Dvj Majizo aliyejifungua juzi juzi na kurudi kwenye ubora wake.Pamoja na urembo huo ameonekana akicheza sinema za kupigana.
0 comments:
Post a Comment