Kikundi cha kiislam ISIS Islamic State kimewakata miguu na mikono waliosadikika ni wezi.Kikundi hicho kinacho jihusisha na mauwaji ya watu weupe na watu wasio waislam lengo likiwa nikueneza dini ya kiislam.Katika kupinga nakutoa suluhisho la matendo ya kinyume na maadili ya dini hiyo njia mbadala ni kukata viungo vya watuhumiwa.
Thursday, July 2, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

HII ADHABU INGEKUJA MPAKA KWA MAFISADI WA HII NCHI, MBONA WENGI WASINGE KIMBILIA UONGOZI, NA MTU AKIUTAKA UONGOZI ANGEKUWA MWAMINIFU NA KAZI YAKE NA NCHI HII TANZANIA INGENDELEA
ReplyDelete