Posted by Williammalecela.com on Tuesday, July 14, 2015
Vyombo vya habari vimedai Dr Slaa ametishia kuondoka Chadema nakurudisha kadi ya chama baada ya kugombana na Mh Mbowe.Hakuna ushaidi wa nukuu au maongezi ya simu baina ya viongozi hao wawili wa chama hicho yakionesha waliongea wapi na lini.
0 comments:
Post a Comment