Tuesday, July 14, 2015

Mbunge wa Chadema kutoka Iringa Mchungaji Msigwa leo ameukebei mkutano mkuu wa CCM kwa kile alichouliza,Nukuu toka kwa mchungaji Msigwa ''Linganisha mkutano Mkuu wa ccm na wachadema Sema neno,nani wako more organized?''




0 comments:

Post a Comment