Posted by Williammalecela.com on Friday, July 03, 2015
Kiwanja
cha mwanamuziki Led Jaydee aka Komando Jide ,kina pigwa mnada na benki
ya EFC Tanzania Limited.Darcitycenter tuliamua kumtafuta meneja wa
msanii huyo Waakazi ilikuweza
kudhibitisha swala hilo na alifunga haya .
”Sifahamu chochote kuhusu hilo swala ”. Wakazi
source Darcitycenter.com
0 comments:
Post a Comment